Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 1:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Basi nikasimama juu yake na kwa hakika nikamuua,+ kwa maana nilijua kwamba hangeishi baada ya kuanguka. Kisha nikachukua taji+ lililokuwa juu ya kichwa chake na kikuku kilichokuwa kwenye mkono wake, ili nivilete kwa bwana wangu hapa.”

  • 2 Samweli 12:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Naye akachukua taji la Malkamu kutoka juu ya kichwa chake,+ ambalo uzito wake ulikuwa talanta moja ya dhahabu, pamoja na mawe ya thamani; nalo likaja kuwa juu ya kichwa cha Daudi. Na nyara+ za jiji lile ambazo alileta zilikuwa nyingi sana.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki