Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 22:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Naye akawaambia: “Rudini katika mahema yenu mkiwa na utajiri mwingi pamoja na mifugo mingi sana, pamoja na fedha na dhahabu na shaba na chuma na mavazi kwa wingi sana.+ Chukueni fungu lenu la nyara+ za adui zenu pamoja na ndugu zenu.”

  • 1 Samweli 30:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Basi Daudi akachukua makundi yote na mifugo, ambayo waliitanguliza mbele ya ile mifugo mingine. Kisha wakasema: “Hii ni nyara ya Daudi.”+

  • 2 Samweli 3:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Na tazama, watumishi wa Daudi na Yoabu walikuwa wakirudi kutoka kufanya uvamizi, na nyara+ waliyoleta ilikuwa nyingi. Lakini Abneri hakuwa na Daudi katika Hebroni, kwa maana alikuwa amemwacha aende zake, naye alikuwa njiani akienda zake kwa amani.

  • 2 Samweli 8:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Vyombo hivyo pia Mfalme Daudi akavitakasa kwa Yehova, pamoja na ile fedha na dhahabu ambayo alikuwa ameitakasa kutoka kwa mataifa yote ambayo alikuwa ameyatiisha,+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki