24 Naye akanunua mlima wa Samaria kutoka kwa Shemeri kwa talanta mbili za fedha, naye akaanza kujenga juu ya huo mlima na kuita jina la jiji alilolijenga Samaria,+ kulingana na jina la Shemeri bwana wa ule mlima.
29 Naye Ahabu mwana wa Omri alikuwa mfalme juu ya Israeli katika mwaka wa 38 wa Asa mfalme wa Yuda; na Ahabu mwana wa Omri akaendelea kutawala juu ya Israeli katika Samaria+ kwa miaka 22.