24 Naye akanunua mlima wa Samaria kutoka kwa Shemeri kwa talanta mbili za fedha, naye akaanza kujenga juu ya huo mlima na kuita jina la jiji alilolijenga Samaria,+ kulingana na jina la Shemeri bwana wa ule mlima.
51 Naye Ahazia+ mwana wa Ahabu, alikuwa mfalme juu ya Israeli kule Samaria katika mwaka wa kumi na saba wa Yehoshafati mfalme wa Yuda, naye akaendelea kutawala juu ya Israeli kwa miaka miwili.