10 Na mpaka huo ukazunguka kutoka Baala kuelekea upande wa magharibi hadi Mlima Seiri ukaendelea hadi kwenye mteremko wa Mlima Yearimu upande wa kaskazini, yaani, Kesaloni; nao ukashuka hadi Beth-shemeshi+ na kuendelea hadi Timna.+
9 Nanyi mnapaswa kutazama: likipanda barabara inayoelekea kwenye eneo lake, kuelekea Beth-shemeshi,+ basi yeye ndiye ametutendea huu uovu mkubwa; lakini kama sivyo, tutajua kwamba haukuwa mkono wake uliotugusa; bali ni msiba+ tu uliotuangukia.”