Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 18:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 “‘Msijifanye wenyewe kuwa wasio safi kwa lolote la mambo hayo, kwa sababu kwa mambo yote hayo mataifa ninayoyafukuza kutoka mbele yenu yamejifanya yenyewe kuwa si safi.+

  • Kumbukumbu la Torati 2:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Walikuwa wakubwa na wengi sana na watu warefu kama Waanaki;+ naye Yehova akawaangamiza+ kutoka mbele yao, ili wapate kuwafukuza na kukaa mahali pao;

  • Yoshua 24:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 “‘Mwishowe nikawaleta ninyi katika nchi ya Waamori waliokuwa wakikaa ng’ambo ile nyingine ya Yordani, nao wakaanza kupigana nanyi.+ Ndipo nikawatia mkononi mwenu ili kuimiliki nchi yao, nami nikawaangamiza kutoka mbele yenu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki