-
Ayubu 42:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Na ndugu zake wote na dada zake wote na wale wote waliokuwa wakimjua+ hapo mwanzoni wakaendelea kuja kwake, nao wakaanza kula mkate pamoja naye+ katika nyumba yake na kusikitika pamoja naye na kumfariji juu ya msiba wote ambao Yehova alikuwa ameuruhusu uje juu yake; nao wakaanza kila mmoja wao kumpa kipande cha pesa na kila mmoja pete ya dhahabu.
-