14 Nanyi hamtakula mkate wowote wala nafaka iliyochomwa wala nafaka mpya mpaka siku hiyo,+ mpaka mtakapoleta toleo la Mungu wenu. Ni sheria mpaka wakati usio na kipimo kwa vizazi vyenu vyote katika makao yenu yote.
41 Nanyi mtaisherehekea kama sherehe kwa Yehova siku saba katika mwaka.+ Kama sheria mpaka wakati usio na kipimo katika vizazi vyenu, mtaisherehekea katika mwezi wa saba.