Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 17:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Pia asizidishe wake kwa ajili yake, ili moyo wake usigeuke kando;+ wala asijiongezee sana fedha na dhahabu.+

  • 2 Samweli 5:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Wakati huo Daudi akaendelea kuchukua masuria+ na wake+ zaidi kutoka katika Yerusalemu baada ya kutoka Hebroni; naye Daudi akaendelea kuzaa wana na mabinti zaidi.

  • 1 Wafalme 11:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Naye akawa na wake mia saba, binti za kifalme, na masuria mia tatu; na mwishowe wake zake wakaugeuza+ moyo wake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki