Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 8:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Na Sadoki+ mwana wa Ahitubu na Ahimeleki+ mwana wa Abiathari walikuwa makuhani, na Seraya alikuwa mwandishi.

  • 2 Mambo ya Nyakati 24:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Na ikawa kwamba kwa wakati unaofaa akawa akiliweka lile sanduku chini ya uangalizi wa mfalme kwa mkono wa Walawi,+ na mara tu walipoona kuna pesa nyingi,+ mwandishi+ wa mfalme na mjumbe wa mkuu wa makuhani wakaja na kuzitoa katika sanduku, kisha wakaliinua na kulirudisha mahali pake. Hivyo ndivyo walivyofanya siku baada ya siku, hivi kwamba wakakusanya pesa kwa wingi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki