Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 16:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Hata hivyo, Samsoni akaendelea kulala mpaka katikati ya usiku, kisha akaamka katikati ya usiku, akakamata milango ya lango+ la jiji na miimo yake miwili, akaing’oa pamoja na pingo, akaiweka juu ya mabega yake, akaichukua+ mpaka kwenye kilele cha mlima ulio mbele ya Hebroni.+

  • 1 Mambo ya Nyakati 22:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Na Daudi akatayarisha chuma kwa wingi sana kwa ajili ya misumari ya milango ya malango na kwa ajili ya vibanio, na pia shaba nyingi isiyoweza kupimwa uzito,+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki