Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 5:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Ndipo Yehova akamwambia Yoshua: “Leo nimeondolea mbali aibu ya Misri itoke juu yenu.”+ Basi jina la mahali hapo likaitwa Gilgali+ mpaka leo hii.

  • Yoshua 15:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Na mpaka huo ukapanda hadi Debiri katika nchi tambarare ya chini ya Akori+ na kugeuka kuelekea kaskazini hadi Gilgali,+ lililo mbele ya mpando wa Adumimu, ambao uko upande wa kusini wa bonde la mto; na mpaka huo ukaendelea hadi kwenye maji ya En-shemeshi,+ na mwisho wake ukawa En-rogeli.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki