Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 2:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Naye mfalme achague wajumbe katika wilaya+ zote za utawala katika milki yake, nao wakusanye pamoja katika ngome+ ya Shushani wanawake wote vijana, mabikira, warembo, kwenye nyumba ya wanawake chini ya Hegai+ towashi+ wa mfalme, mlinzi wa wanawake; nao wakandwe.

  • Esta 2:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Jioni alikuwa akiingia, na asubuhi alikuwa akirudi katika nyumba ya pili ya wanawake iliyosimamiwa na Shaashgazi towashi wa mfalme,+ mlinzi wa masuria. Hakuwa akiingia tena kwa mfalme ila mfalme awe alipendezwa naye na aitwe kwa jina lake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki