Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 2:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Jioni alikuwa akiingia, na asubuhi alikuwa akirudi katika nyumba ya pili ya wanawake iliyosimamiwa na Shaashgazi towashi wa mfalme,+ mlinzi wa masuria. Hakuwa akiingia tena kwa mfalme ila mfalme awe alipendezwa naye na aitwe kwa jina lake.+

  • Esta 4:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Na wanawake vijana wa Esta na matowashi+ wake wakaingia na kumpa habari. Na malkia akaumia sana. Kisha akaagiza mavazi ya kumvika Mordekai yapelekwe na nguo zake za magunia zivuliwe. Naye hakuyakubali.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki