-
Esta 4:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 “Watumishi wote wa mfalme na watu wa wilaya za utawala wa mfalme wanajua kwamba mwanamume au mwanamke yeyote anayeingia kwa mfalme katika ua wa ndani+ bila kuitwa, mfalme ana sheria moja tu,+ kwamba mtu huyo auawe; ila tu mfalme akimnyooshea fimbo yake ya enzi ya dhahabu, ndipo atakapoendelea kuishi.+ Lakini mimi, kwa siku 30 sasa sijaitwa kuingia kwa mfalme.”
-