Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 5:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Ndipo Zereshi mke wake na rafiki zake wote wakamwambia: “Na watengeneze mti+ wenye urefu wa mikono 50. Kisha asubuhi+ umwambie mfalme kwamba wamtundike Mordekai juu yake.+ Halafu uingie pamoja na mfalme kwenye karamu ukiwa na shangwe.” Basi jambo hilo likaonekana jema+ mbele ya Hamani, naye akautengeneza mti.+

  • Esta 7:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Nao wakamtundika Hamani juu ya mti+ ambao alikuwa ameweka tayari kwa ajili ya Mordekai;+ nayo ghadhabu ya mfalme ikapungua.

  • Esta 9:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Basi mfalme akasema ifanywe hivyo.+ Ndipo sheria ikatolewa katika Shushani, na wale wana kumi wa Hamani wakatundikwa mtini.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki