Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 10:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  8 Yeye huketi akivizia makao;

      Kutoka mafichoni atamuua mtu asiye na hatia.+

      ע [ʽAʹyin]

      Macho yake yanamtafuta mtu mwenye taabu.+

  • Luka 19:47
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 47 Zaidi ya hayo, akawa akifundisha kila siku katika hekalu. Lakini wakuu wa makuhani na waandishi na wakuu kati ya watu walikuwa wakitafuta kumwangamiza;+

  • Matendo 9:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Hata hivyo, hila yao juu yake ikajulikana kwa Sauli. Lakini walikuwa pia wakiyaangalia sana malango mchana na pia usiku ili kumwangamiza.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki