Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 18:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Mwishowe Absalomu akajikuta mbele ya watumishi wa Daudi. Na Absalomu alikuwa amepanda nyumbu, na yule nyumbu akaja chini ya mtandao wa matawi ya mti mkubwa mno, hivi kwamba kichwa chake kikakwama kabisa katika ule mti mkubwa, naye akainuliwa juu kati ya mbingu na dunia,+ na yule nyumbu aliyekuwa chini yake akapita, akazidi kwenda mbele.

  • Zaburi 109:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Wale wanaonipinga na wavikwe fedheha,+

      Na acha wavae wenyewe aibu yao kana kwamba ni koti lisilo na mikono.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki