Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 3:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Kisha Daudi akamwambia Yoabu na watu wote waliokuwa pamoja naye: “Rarueni mavazi yenu,+ na mvae nguo za magunia,+ mlie mbele ya Abneri.” Hata mfalme Daudi akatembea nyuma ya kile kitanda.

  • 2 Samweli 13:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Ndipo Tamari akatia majivu+ juu ya kichwa chake, akairarua ile kanzu yenye mistari-mistari aliyokuwa amevaa; naye akaweka mikono yake juu ya kichwa chake,+ akatembea akienda zake, akitembea huku akilia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki