25 Na milima yote ambayo ilikuwa ikiondolewa mimea misumbufu kwa jembe—wewe hutakuja hapo kwa kuogopa vichaka vya miiba na magugu; napo hakika patakuwa mahali pa kufungulia ng’ombe na nchi ya kukanyagwa na kondoo.”+
14 Kwa maana mnara wa makao umeachwa,+ kelele za jiji zimeachwa; Ofeli+ na mnara wa mlinzi umekuwa nyika, kwa wakati usio na kipimo furaha ya punda-milia, malisho ya makundi;