Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 5:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Kwa hiyo Daudi akaja Baal-perasimu,+ na Daudi akawapiga na kuwaua huko. Ndipo akasema: “Yehova amepenya katikati ya adui+ zangu mbele yangu, kama pengo lililofanyizwa na maji.” Ndiyo sababu alipaita mahali hapo jina Baal-perasimu.+

  • 1 Mambo ya Nyakati 14:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kwa hiyo Daudi akapanda kwenda Baal-perasimu+ naye akawapiga na kuwaua huko. Ndipo Daudi akasema: “Mungu wa kweli amepenya katikati ya adui zangu kupitia kwa mkono wangu kama pengo lililofanyizwa na maji.” Ndiyo sababu walipaita mahali hapo+ jina Baal-perasimu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki