Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 18:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Sasa tazama! umeweka tegemeo lako katika usaidizi wa tete hili lililopondeka,+ Misri,+ ambalo, mtu akiliegemea, hakika litaingia mkononi mwake na kuuchoma. Hivyo ndivyo Farao+ mfalme wa Misri alivyo kwa wote wanaomtegemea.

  • Isaya 30:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Na Wamisri ni ubatili mtupu, nao watasaidia bure tu.+ Kwa hiyo nimemwita huyu: “Rahabu+—kazi yao ni kuketi tuli.”

  • Yeremia 37:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 “Yehova Mungu wa Israeli amesema hivi, ‘Mwambieni hivi mfalme wa Yuda, yeye aliyewatuma kwangu kuniuliza habari:+ “Tazama! Jeshi la Farao ambalo linawajia ninyi kwa kusudi la kuwapa msaada litarudi nchini kwao, Misri.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki