Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 63:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Nami niliendelea kutazama, lakini hapakuwa na msaidizi; nikaanza kushangaa, lakini hapakuwa na yeyote aliyetegemeza.+ Kwa hiyo mkono wangu ukanipa wokovu,+ na ghadhabu+ yangu ndiyo iliyonitegemeza.

  • Yeremia 5:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Nao manabii wanakuwa upepo, na lile neno halimo ndani yao.+ Hivyo ndivyo watakavyotendewa.”

  • Danieli 2:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Wakaldayo wakajibu mbele ya mfalme, na kusema: “Hakuna binadamu yeyote juu ya nchi kavu anayeweza kuonyesha jambo hili la mfalme, kwa vile hakuna mfalme mkuu wala gavana ambaye amepata kuuliza jambo kama hili kutoka kwa kuhani yeyote mwenye kufanya uchawi, wala mfanya-mazingaombwe wala Mkaldayo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki