-
1 Samweli 25:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Baadaye Abigaili akaingia kwa Nabali, na tazama, mwanamume huyo alikuwa akifanya karamu katika nyumba yake, karamu kama ile ya mfalme;+ na moyo wa Nabali ulikuwa ukichangamka ndani yake, naye alikuwa amelewa+ kabisa; na kufikia nuru ya asubuhi mke hakuweza kumwambia jambo lolote, liwe ni dogo au kubwa.
-