Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 3:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Mara moja yule mwanamke ambaye mwana wake ndiye aliyekuwa hai akamwambia mfalme (kwa sababu hisia zake za ndani+ ziliamshwa kumhusu mwana wake,+ hivi kwamba akasema): “Nakuomba radhi,+ bwana wangu! Mpeni yeye mtoto aliye hai. Usimuue kamwe.” Wakati huo wote yule mwanamke mwingine alikuwa akisema: “Yeye hatakuwa wangu wala hatakuwa wako. Mkateni!”+

  • Zaburi 103:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Kama vile baba anavyowaonyesha wanawe rehema,+

      Ndivyo ambavyo Yehova amewaonyesha rehema wale wanaomwogopa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki