Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 17:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na mfalme wa Ashuru akapanda kuja juu ya nchi yote na kupanda kuja mpaka Samaria, akalizingira+ kwa miaka mitatu.

  • 2 Wafalme 18:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Na ikawa katika mwaka wa nne wa Mfalme Hezekia, yaani, mwaka wa saba wa Hoshea+ mwana wa Ela mfalme wa Israeli, kwamba Shalmanesa+ mfalme wa Ashuru akapanda kuja juu ya Samaria, akaanza kulizingira.+

  • Isaya 7:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Yehova ataleta juu yenu+ na juu ya watu wenu na juu ya nyumba ya baba yako siku ambazo hazijaja tangu siku ile Efraimu alipoondoka kando ya Yuda,+ yaani, mfalme wa Ashuru.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki