8 Na mnapotoa mnyama kipofu kwa ajili ya dhabihu mnasema: “Si vibaya.” Na mnapotoa mnyama kilema au mgonjwa mnasema: “Si vibaya.” ’ ”+
“Tafadhali, mleteni kwa gavana wenu. Je, atawafurahia ninyi, au je, atawapokea kwa fadhili?” Yehova wa majeshi amesema.