Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 17:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Na hakika yeye atakuwa kama mti ulio peke yake katika nchi tambarare ya jangwani wala hataona wakati mema yatakapokuja;+ lakini atakaa mahali pakavu katika nyika, katika nchi yenye chumvi ambayo haikaliwi.+

  • Ezekieli 17:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “Sema, ‘Hivi ndivyo Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova amesema: “Je, huo utakuwa na mafanikio?+ Je, mtu fulani hataing’oa mizizi yake+ na kuyafanya matunda yake yawe na magamba? Na je, machipukizi yake yote yaliyokatwa hivi karibuni hayatakauka?+ Utakauka. Hautainuliwa kutoka mizizini mwake kwa mkono wenye nguvu wala kwa umati wa watu.

  • Mathayo 21:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Naye akaona mtini kando ya barabara na kuuendea, lakini hakukuta kitu+ juu yake ila majani tu, naye akauambia: “Usizae matunda yoyote tena kamwe, milele.”+ Nao mtini ukanyauka mara moja.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki