Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 41:42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 42 Kisha Farao akaivua pete yake rasmi ya muhuri+ kutoka mkononi mwake, akaiweka mkononi mwa Yosefu na kumvalisha mavazi ya kitani bora, naye akaweka mkufu wa dhahabu shingoni mwake.+

  • 1 Samweli 18:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Zaidi ya hayo, Yonathani akavua koti lake lisilo na mikono alilokuwa amevaa, akampa Daudi, na pia mavazi yake, na hata upanga wake na upinde wake na mshipi wake.

  • Esta 8:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Naye Mordekai akatoka mbele ya mfalme akiwa amevaa mavazi ya kifalme+ ya bluu na kitani, taji kubwa la dhahabu, na kanzu ya kitambaa laini,+ ya sufu iliyotiwa rangi ya zambarau.+ Na jiji la Shushani likapaaza sauti na kushangilia.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki