2 Wafalme 23:30 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 30 Basi watumishi wake wakamsafirisha katika gari kutoka Megido akiwa amekufa, wakamleta Yerusalemu,+ wakamzika katika kaburi lake. Kisha watu wa nchi wakamchukua Yehoahazi+ mwana wa Yosia wakamtia mafuta na kumfanya kuwa mfalme mahali pa baba yake. 2 Mambo ya Nyakati 36:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 36 Kisha watu wa nchi wakamchukua Yehoahazi+ mwana wa Yosia na kumfanya kuwa mfalme mahali pa baba yake katika Yerusalemu.+
30 Basi watumishi wake wakamsafirisha katika gari kutoka Megido akiwa amekufa, wakamleta Yerusalemu,+ wakamzika katika kaburi lake. Kisha watu wa nchi wakamchukua Yehoahazi+ mwana wa Yosia wakamtia mafuta na kumfanya kuwa mfalme mahali pa baba yake.
36 Kisha watu wa nchi wakamchukua Yehoahazi+ mwana wa Yosia na kumfanya kuwa mfalme mahali pa baba yake katika Yerusalemu.+