2 Wafalme 23:35 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 35 Na Yehoyakimu akampa Farao fedha+ na dhahabu. Ila tu aliitoza nchi kodi,+ ili atoe fedha kwa agizo la Farao. Kulingana na kiwango cha kodi cha kila mmoja+ akatoza fedha na dhahabu kutoka kwa watu wa nchi, ili kumpa Farao Neko.
35 Na Yehoyakimu akampa Farao fedha+ na dhahabu. Ila tu aliitoza nchi kodi,+ ili atoe fedha kwa agizo la Farao. Kulingana na kiwango cha kodi cha kila mmoja+ akatoza fedha na dhahabu kutoka kwa watu wa nchi, ili kumpa Farao Neko.