Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 30:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 kwa maana utaisikiliza sauti ya Yehova Mungu wako ili uzishike amri zake na sheria zake zilizoandikwa katika kitabu hiki cha sheria,+ kwa sababu utarudi kwa Yehova Mungu wako kwa moyo wako wote na nafsi yako yote.+

  • Malaki 3:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Tangu siku za mababu zenu mmeyaacha masharti yangu wala hamkuyashika.+ Rudini kwangu, nami nitarudi kwenu,”+ Yehova wa majeshi amesema.

      Nanyi mmesema: “Tutarudi kwa njia gani?”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki