Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 35:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Wakati huo kilema atapanda juu kama vile paa anavyofanya,+ na ulimi wa bubu utapaaza sauti kwa furaha.+ Kwa maana maji yatakuwa yamebubujika katika nyika, na mito katika nchi tambarare ya jangwani.

  • Isaya 42:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Nami nitawafanya vipofu watembee katika njia ambayo hawakuijua;+ nitawafanya wakanyage katika barabara ambayo hawakuijua.+ Nitabadili mahali penye giza mbele yao pawe nuru,+ na nchi ya mawemawe iwe nchi tambarare.+ Hayo ndiyo mambo ambayo nitafanya kwa ajili yao, nami sitawaacha.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki