-
Mathayo 2:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Ndipo Herode, alipoona ameshindwa akili na wale wanajimu, akaingiwa na ghadhabu kubwa, akatuma watu na kuagiza wavulana wote katika Bethlehemu na katika wilaya zake zote wauawe, kuanzia umri wa miaka miwili kwenda chini, kulingana na wakati aliokuwa amehakikisha kwa uangalifu kutoka kwa wale wanajimu.+
-