Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 13:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 kwa kuwa nchi yote ambayo unaitazama, nitakupa wewe na uzao wako hata wakati usio na kipimo.+

  • Mwanzo 17:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako ile nchi ya makao yako ya kigeni,+ naam, nchi yote ya Kanaani, ili kuimiliki hata wakati usio na kipimo; nami nitajionyesha mwenyewe kuwa Mungu kwao.”+

  • Mwanzo 26:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Kaa ukiwa mgeni katika nchi hii,+ nami nitaendelea kuwa pamoja nawe na kukubariki, kwa sababu nitakupa wewe na uzao wako nchi zote hizi,+ nami nitaitimiza ahadi yenye kiapo ambayo nilimwapia Abrahamu baba yako,+

  • Kumbukumbu la Torati 1:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Tazama, naiweka nchi hiyo mbele yenu. Ingieni mwimiliki nchi ambayo Yehova aliwaapia baba zenu, Abrahamu, Isaka+ na Yakobo,+ kwamba atawapa wao na uzao wao baada yao.’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki