52 Nao kwa kweli watakuzingira ndani ya malango yako yote mpaka kuta zako ndefu na zenye ngome ambazo unazitumaini zitakapoanguka katika nchi yako yote, naam, hakika watakuzingira ndani ya malango yako katika nchi yako yote, ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe.+