Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 26:34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 “‘Na wakati huo nchi italipa sabato zake siku zote za kukaa kwake ukiwa, huku ninyi mkiwa katika nchi ya adui zenu. Wakati huo nchi itashika sabato, kwa maana lazima ilipe sabato zake.+

  • Wagalatia 6:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Msipotoshwe:+ Mungu si wa kudhihakiwa.+ Kwa maana lolote lile analopanda mtu, atavuna hilo pia;+

  • Yakobo 2:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Kwa maana yeye asiye na mazoea ya kuonyesha rehema atapata hukumu yake bila rehema.+ Rehema hufurahi kwa njia ya ushindi juu ya hukumu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki