10 Na wana wa Israeli wakaendelea kupiga kambi katika Gilgali, nao wakasherehekea pasaka siku ya kumi na nne ya mwezi huo,+ wakati wa jioni, katika nchi tambarare za jangwa la Yeriko.
8 Na jeshi la Wakaldayo likamfuatilia mfalme,+ nao wakamfikia Sedekia+ katika nchi tambarare za jangwa la Yeriko; na jeshi lake lote likatawanyika kutoka upande wake.+