Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 20:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Basi Yonathani akamwapia tena Daudi kwa sababu ya upendo wake kwake; kwa maana alimpenda jinsi alivyoipenda nafsi yake mwenyewe.+

  • 2 Wafalme 25:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Ndipo Gedalia akawaapia+ wao pamoja na watu wao, akawaambia: “Msiogope kuwa watumishi wa Wakaldayo. Kaeni katika nchi na kumtumikia mfalme wa Babiloni, na itakuwa vema kwenu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki