Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 24:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Na Yehova akaanza kuleta juu yake vikundi vya waporaji vya Wakaldayo+ na vikundi vya waporaji vya Wasiria na vikundi vya waporaji vya Wamoabu+ na vikundi vya waporaji vya wana wa Amoni, naye akaendelea kuwaleta juu ya Yuda ili kuiangamiza, kulingana na neno la Yehova+ alilokuwa amesema kupitia watumishi wake manabii.

  • Ezekieli 16:37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 kwa hiyo, tazama, ninawakusanya pamoja wote wanaokupenda kwa tamaa ambao ulikuwa mwenye kupendeza kwao na wale wote uliowapenda pamoja na wale wote uliowachukia, nami nitawakusanya hao pamoja juu yako kutoka pande zote na kuwafunulia sehemu zako za siri, nao wataziona sehemu zako zote za siri.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki