Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 25:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na jeshi la Wakaldayo+ likamfuatilia mfalme, nao wakamfikia+ katika nchi tambarare za jangwa la Yeriko;+ na jeshi lake lote likatawanyika kutoka upande wake.

  • Yeremia 39:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Sasa ikawa kwamba mara tu Sedekia mfalme wa Yuda na watu wote wa vita walipowaona, wakaanza kukimbia+ na kwenda nje ya jiji wakati wa usiku kupitia njia ya bustani ya mfalme,+ kupitia lile lango lililo katikati ya zile kuta mbili; nao wakaendelea kutoka nje kupitia njia ya Araba.+

  • Maombolezo 3:52
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 52 Hakika adui zangu wameniwinda kama ndege,+ bila sababu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki