12 Waporaji wamekuja kwenye mapito yote yaliyokanyagwa sana. Kwa maana upanga wa Yehova unakula kutoka mwisho mmoja wa nchi mpaka mwisho ule mwingine wa nchi.+ Hakuna amani kwa yeyote mwenye mwili.
4 Nao wakienda utekwani mbele ya adui zao, kutoka huko nitaamuru upanga, nao utawaua;+ nami nitaweka macho yangu juu yao kwa mabaya, wala si kwa mema.+