24 Sasa mafuta ya mzoga ambao tayari umekufa na mafuta ya mnyama aliyeraruliwa+ vipande-vipande yanaweza kutumiwa kwa ajili ya kitu kingine chochote kinachoweza kufikiriwa, lakini ninyi msiyale hata kidogo.
40 Naye anayekula+ sehemu yoyote ya mzoga wake atayafua mavazi yake, naye atakuwa asiye safi mpaka jioni; naye anayeubeba mzoga wake atayafua mavazi yake, naye atakuwa asiye safi mpaka jioni.