Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 42:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Kisha Rubeni akawajibu, akawaambia: “Je, sikuwaambia, ‘Msimtendee mtoto huyo dhambi,’ lakini hamkusikia?+ Na sasa damu yake inadaiwa tena.”+

  • Ezekieli 3:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Mimi ninapomwambia mtu mwovu, ‘Hakika utakufa,’+ na wewe usimwonye na kusema ili kumwonya mwovu aiache njia yake ya uovu ili kumhifadhi hai,+ yeye akiwa ni mwovu, katika kosa lake atakufa,+ lakini damu yake nitaidai kutoka katika mkono wako mwenyewe.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki