Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 39:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Na baadhi ya watu, watu wa hali ya chini ambao hawakuwa na chochote hata kidogo, Nebuzaradani mkuu wa walinzi akawaacha wabaki katika nchi ya Yuda;+ naye akawapa mashamba ya mizabibu na utumishi wa lazima katika siku hiyo.+

  • Ezekieli 36:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 kwa hiyo, enyi milima ya Israeli,+ lisikieni neno la Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova! Ni hivi Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova ameambia milima na vilima, vijito na mabonde na mahali palipoharibiwa+ na kufanywa ukiwa na majiji yaliyoachwa ambayo yameporwa na kudhihakiwa na mabaki ya mataifa yanayozunguka pande zote;+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki