36 Nawe utamtoa ng’ombe-dume wa toleo la dhambi kila siku kwa ajili ya upatanisho,+ nawe utaitakasa madhabahu kutokana na dhambi kwa kufanya upatanisho juu yake, nawe utaitia mafuta+ ili kuitakasa.
26 Naye atayafukiza mafuta yake yote kwenye madhabahu kama yale mafuta ya dhabihu ya ushirika;+ naye kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake kwa ajili ya dhambi zake,+ naye atasamehewa.