Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 48:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na sasa wana wako wawili waliozaliwa katika nchi ya Misri kabla sijaja hapa kwako Misri ni wangu.+ Efraimu na Manase watakuwa wangu kama vile Rubeni na Simeoni.+

  • 1 Mambo ya Nyakati 5:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na wana wa Rubeni+ mzaliwa wa kwanza wa Israeli—kwa maana yeye alikuwa ndiye mzaliwa wa kwanza;+ lakini kwa kuwa alikitia unajisi kitanda cha baba yake,+ haki yake akiwa mzaliwa wa kwanza ilipewa wana wa Yosefu+ mwana wa Israeli, hivi kwamba yeye hakuandikishwa kiukoo kwa ajili ya haki ya mzaliwa wa kwanza.

  • Ezekieli 48:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na kwenye mpaka wa Manase, kutoka mpaka wa mashariki hadi mpaka wa magharibi, Efraimu+ moja.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki