Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ayubu 21:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Wao wanaendelea kupaaza sauti yao kwa tari na kinubi,+

      Nao huendelea kushangilia sauti ya zumari.

  • Danieli 3:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 kwamba, wakati mtakaposikia sauti ya baragumu, zumari, zeze, kinubi chenye pembe tatu, kinanda, zumari-tete na aina zote za vyombo vya muziki,+ mwanguke chini na kuiabudu sanamu ya dhahabu ambayo Mfalme Nebukadneza ameisimamisha.

  • Danieli 3:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Basi sasa ikiwa mko tayari ili mnaposikia sauti ya baragumu, zumari, zeze, kinubi chenye pembe tatu, kinanda, zumari-tete na aina zote za vyombo vya muziki,+ mwanguke chini na kuiabudu sanamu ambayo nimeitengeneza, ni vema. Lakini msipoabudu, mtatupwa wakati huohuo ndani ya tanuru inayowaka moto. Na ni mungu gani huyo anayeweza kuwaokoa ninyi kutoka mikononi mwangu?”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki