Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Danieli 5:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Mfalme akaita kwa sauti kubwa akasema waletwe ndani wafanya-mazingaombwe, Wakaldayo na wanajimu.+ Mfalme akawaambia watu wenye hekima wa Babiloni: “Mtu yeyote atakayesoma maandishi haya na kunionyesha tafsiri yake kamili, atavikwa mavazi ya zambarau,+ pamoja na mkufu wa dhahabu shingoni mwake, naye atakuwa mtawala wa tatu katika ufalme.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki