2 Samweli 18:32 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 32 Lakini mfalme akamwambia Mkushi: “Je, mambo ni mema kwa yule kijana Absalomu?” Ndipo Mkushi akasema: “Adui za bwana wangu mfalme na wote waliosimama juu yako kwa uovu na wawe kama yule kijana.”+
32 Lakini mfalme akamwambia Mkushi: “Je, mambo ni mema kwa yule kijana Absalomu?” Ndipo Mkushi akasema: “Adui za bwana wangu mfalme na wote waliosimama juu yako kwa uovu na wawe kama yule kijana.”+